\p \v=14 \v~=Akajibu, “La, siko upande wowote, lakini mimi nimekuja nikiwa jemadari wa jeshi la \nd Bwana\nd*.” Yoshua akaanguka kifudifudi hadi chini, akasujudu, akamuuliza, “Je, Bwana, una ujumbe gani kwa mtumishi wako?” \¬v