\p \v=9 \v~=\nd Bwana\nd* akamwambia Yoshua, “Leo nimeiondoa aibu ya Wamisri kutoka kwenu.” Basi mahali pale pakaitwa Gilgali hadi leo. \¬v \¬p