\v=11 \v~=Basi akalipeleka Sanduku la \nd Bwana\nd* kuzungushwa huo mji, likizungushwa mara moja. Kisha watu wakarudi kambini kulala. \¬v \¬p