\p \v=12 \v~=Yoshua akaamka mapema asubuhi iliyofuata nao makuhani wakalichukua Sanduku la \nd Bwana\nd*. \¬v