\v=16 \v~=Walipouzunguka mara ya saba, makuhani walipopiga baragumu kwa sauti kubwa, Yoshua akawaamuru watu akisema, “Pigeni kelele! Kwa maana \nd Bwana\nd* amewapa mji huu! \¬v