\v=17 \v~=Mji huu pamoja na vyote vilivyomo ndani yake utawekwa wakfu kwa \nd Bwana\nd*. Ila Rahabu tu, yule kahaba na wote ambao wako pamoja naye nyumbani mwake ndio watakaosalimishwa, kwa sababu aliwaficha wale wapelelezi tuliowatuma. \¬v