\v=21 \v~=Wakauweka mji wakfu kwa \nd Bwana\nd*, na kila chenye uhai ndani yake walikiangamiza kwa upanga, wanaume kwa wanawake, vijana kwa wazee, ngʼombe, kondoo na punda. \¬v \¬p