\p \v=6 \v~=Ndipo Yoshua mwana wa Nuni akaita makuhani na kuwaambia, “Chukueni Sanduku la Agano la \nd Bwana\nd* na makuhani saba wachukue baragumu za pembe za kondoo dume mbele yake.” \¬v