\v=7 \v~=Naye akawaagiza watu, “Songeni mbele! Mkauzunguke mji, na walinzi wenye silaha watangulie mbele ya Sanduku la \nd Bwana\nd*.” \¬v \¬p