\p \v=14 \v~=“ ‘Asubuhi, mjihudhurishe kabila kwa kabila. Itakuwa kabila lile atakalolitwaa \nd Bwana\nd* litakuja mbele ukoo kwa ukoo, ukoo ule atakaoutwaa \nd Bwana\nd* utakuja mbele jamaa kwa jamaa, nayo jamaa ile atakayoitwaa \nd Bwana\nd* itakuja mbele mtu kwa mtu. \¬v