\v=15 \v~=Yule atakayekutwa na vitu vilivyowekwa wakfu, atateketezwa kwa moto, pamoja na vitu vyote alivyo navyo. Kwa kuwa amelivunja agano la \nd Bwana\nd* na kufanya kitu cha aibu katika Israeli!’ ” \¬v \¬p