\p \v=19 \v~=Ndipo Yoshua akamwambia Akani, “Mwanangu, mtukuze \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli, nawe ukiri kwake. Niambie ni nini ulichotenda; usinifiche.” \¬v \¬p