\v=21 \v~=Nilipoona katika nyara joho zuri la kutoka Babeli, shekeli mia mbili\f + \fr 7:21 \ft Shekeli 200 za fedha ni sawa na kilo 2.3.\f* za fedha, na kabari ya dhahabu ya uzito wa shekeli hamsini,\f + \fr 7:21 \ft Shekeli 50 ni sawa na gramu 600.\f* nikavitamani na nikavichukua. Tazama, vimefichwa ardhini ndani ya hema langu, pamoja na hiyo fedha chini yake.” \¬v \¬p