\v=26 \v~=Wakakusanya lundo la mawe juu ya Akani, ambalo lipo mpaka leo. Naye \nd Bwana\nd* akageuka kutoka hasira yake kali. Kwa hiyo mahali pale pakaitwa Bonde la Akori\f + \fr 7:26 \ft Akori yamaanisha taabu\ft*.\f* tangu siku hiyo. \¬v \¬p \¬c