\p \v=6 \v~=Ndipo Yoshua akayararua mavazi yake, akaanguka kifudifudi mbele ya Sanduku la \nd Bwana\nd*, na akabakia hapo mpaka jioni. Wazee wa Israeli nao wakafanya vivyo hivyo wakatia mavumbi vichwani mwao. \¬v