\p \v=14 \v~=Basi watu wa Israeli wakavikagua vyakula vyao bila kupata shauri kutoka kwa \nd Bwana\nd*. \¬v