\v=19 \v~=lakini viongozi wote wakawajibu, “Tumeshawaapia kwa \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli, kwa hiyo hatuwezi kuwagusa sasa. \¬v