\v=27 \v~=Siku hiyo Yoshua akawafanya Wagibeoni wapasua kuni na wachota maji kwa ajili ya jamii na kwa ajili ya madhabahu ya \nd Bwana\nd* mahali pale ambapo \nd Bwana\nd* angepachagua. Hivyo ndivyo walivyo hadi hivi leo. \¬v \¬p \¬c