\p \v=10 \v~=Naye akampa mfalme talanta 120\f + \fr 10:10 \ft Talanta 120 za dhahabu ni sawa na tani 4.5.\f* za dhahabu, kiasi kikubwa sana cha vikolezi na vito vya thamani. Haikuwahi kamwe kuletwa tena vikolezi vingi hivyo kuletwa kama vile malkia wa Sheba alivyompa Mfalme Solomoni. \¬v \¬p