\v=12 \v~=Mfalme akatumia miti ya msandali kuwa nguzo ya Hekalu la \nd Bwana\nd* na kwa jumba la kifalme, pia kwa kutengeneza vinubi na zeze kwa ajili ya waimbaji. Kiasi hicho kingi cha msandali hakijawahi kuingizwa au kuonekana humo tangu siku ile.) \¬v \¬p