\v=17 \v~=Akatengeneza pia ngao ndogo 300 za dhahabu iliyofuliwa, kila ngao ikiwa na uzito wa mane tatu\f + \fr 10:17 \ft Mane tatu za dhahabu ni sawa na kilo 1.7.\f* za dhahabu. Mfalme akaziweka katika Jumba la Kifalme la Msitu wa Lebanoni. \¬v \¬p