\v=22 \v~=Mfalme alikuwa na meli nyingi za biashara\f + \fr 10:22 \ft Au: za Tarshishi (ona pia \+xt 1Fal 22:48; 2Nya 9:21; 20:36; Isa 2:16; 60:9\+xt*).\f* baharini zilizokuwa zikiandamana na meli za Hiramu. Kwa mara moja kila miaka mitatu zilirudi, zikiwa zimebeba dhahabu, fedha, pembe za ndovu na nyani wakubwa na wadogo. \¬v \¬p