\v=28 \v~=Farasi wa Solomoni waliletwa kutoka Misri na kutoka Kue.\f + \fr 10:28 \ft Yaani Kilikia ilioko Syria.\f* Wafanyabiashara wa mfalme waliwanunua kutoka Kue. \¬v