\v=29 \v~=Waliagiza magari kutoka Misri kwa bei ya shekeli 600 za fedha\f + \fr 10:29 \ft Shekeli 600 za fedha ni sawa na kilo 7.\f* na farasi kwa shekeli 150.\f + \fr 10:29 \ft Shekeli 150 za fedha ni sawa na kilo 1.7.\f* Pia waliwauza nje kwa wafalme wote wa Wahiti na wa Waaramu.\f + \fr 10:29 \ft Waaramu hapa ina maana ya Washamu.\f* \¬v \¬p \¬c