\v=25 \v~=Rezoni alikuwa adui wa Israeli kwa muda wote alioishi Solomoni, ukiongezea matatizo yaliyosababishwa na Hadadi. Kwa hiyo Rezoni akatawala katika Aramu\f + \fr 11:25 \ft Yaani Shamu (ambayo leo ni Syria).\f* na alikuwa mkatili kwa Israeli. \¬v \¬p