\p \v=27 \v~=Haya ndiyo maelezo ya jinsi alivyomwasi mfalme: Solomoni alikuwa amejenga Milo\f + \fr 11:27 \ft Milo maana yake Boma la Ngome.\f* naye akawa ameziba mwanya katika ukuta wa mji wa Daudi baba yake. \¬v