\v=5 \v~=Solomoni akafuata Ashtorethi mungu mke wa Wasidoni, na Moleki\f + \fr 11:5 \ft Moleki au Milkomu ni mungu aliyekuwa akiabudiwa na Waamoni; alikuwa chukizo kwa sababu watoto walitolewa kafara kwake.\f* mungu aliyekuwa chukizo la Waamoni. \¬v