\v=6 \v~=Kwa hiyo Solomoni akafanya uovu machoni pa \nd Bwana\nd*; hakumfuata \nd Bwana\nd* kikamilifu kama alivyofanya Daudi baba yake. \¬v \¬p