\v=24 \v~=‘Hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd*: Msipande kupigana dhidi ya ndugu zenu, Waisraeli. Nendeni nyumbani, kila mmoja wenu, kwa kuwa hili nimelitenda mimi.’ ” Kwa hiyo wakalitii neno la \nd Bwana\nd* na kurudi nyumbani, kama \nd Bwana\nd* alivyokuwa ameagiza. \¬v \¬p