\v=27 \v~=Kama watu hawa watapanda kwenda kutoa dhabihu katika Hekalu la \nd Bwana\nd* huko Yerusalemu, mioyo yao itamrudia bwana wao, Rehoboamu mfalme wa Yuda. Wataniua mimi na kurudi kwa Mfalme Rehoboamu.” \¬v \¬p