\v=21 \v~=Akampazia sauti yule mtu wa Mungu aliyekuwa ametoka Yuda, “Hivi ndivyo asemavyo \nd Bwana\nd*: ‘Umeasi neno la \nd Bwana\nd* na hukushika amri uliyopewa na \nd Bwana\nd* Mungu wako, \¬v