\p \v=26 \v~=Yule nabii aliyekuwa amemrudisha kutoka safari yake aliposikia habari hii akasema, “Ni yule mtu wa Mungu ambaye aliasi neno la \nd Bwana\nd*. \nd Bwana\nd* amemtoa kwa simba, ambaye amemrarua na kumuua, sawasawa na neno la \nd Bwana\nd* lilivyokuwa limemwonya.” \¬v \¬p