\v=32 \v~=Kwa maana ujumbe alioutangaza kwa neno la \nd Bwana\nd* dhidi ya madhabahu huko Betheli na dhidi ya madhabahu yote katika mahali pa juu pa kuabudia miungu katika miji ya Samaria, hakika yatatokea kweli.” \¬v \¬p