\p \v=6 \v~=Kisha mfalme akamwambia mtu wa Mungu, “Niombee kwa \nd Bwana\nd* Mungu wako ili mkono wangu upate kupona.” Kwa hiyo mtu wa Mungu akamwombea kwa \nd Bwana\nd*, nao mkono wa mfalme ukapona na kuwa kama ulivyokuwa hapo kwanza. \¬v \¬p