\v=13 \v~=Israeli yote itamwombolezea na kumzika. Kwa sababu ni yeye pekee wa nyumba ya Yeroboamu atakayezikwa, kwa sababu ni yeye peke yake ndani ya nyumba ya Yeroboamu ambaye \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli, ameona kitu chema kwake. \¬v \¬p