\v=15 \v~=Naye \nd Bwana\nd* ataipiga Israeli, hata iwe kama unyasi unaosukwasukwa juu ya maji. Ataingʼoa Israeli kutoka nchi hii nzuri aliyowapa baba zao na kuwatawanya ngʼambo ya Mto Frati, kwa sababu wamemghadhibisha \nd Bwana\nd* kwa kutengeneza nguzo za Ashera\f + \fr 14:15 \ft Yaani mfano wa mungu wa kike Ashera.\f* \¬v