\p \v=22 \v~=Yuda wakatenda maovu machoni pa \nd Bwana\nd*. Kwa dhambi walizotenda wakachochea hasira yake yenye wivu zaidi kuliko baba zao walivyofanya. \¬v