\v=28 \v~=Kila wakati mfalme alipokwenda katika Hekalu la \nd Bwana\nd*, walinzi walizichukua hizo ngao, na baadaye walizirudisha kwenye chumba cha ulinzi. \¬v \¬p