\v=31 \v~=Naye Rehoboamu akalala na baba zake, na akazikwa pamoja nao katika Mji wa Daudi. Mama yake aliitwa Naama, ambaye alikuwa Mwamoni. Naye Abiya\f + \fr 14:31 \ft Maandishi mengine ya Kiebrania yanamwita Abiyamu.\f* mwanawe akawa mfalme baada yake. \¬v \¬p \¬c