\v=7 \v~=Nenda, ukamwambie Yeroboamu kwamba hivi ndivyo asemavyo \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli: ‘Nilikuinua miongoni mwa watu na kukufanya kiongozi juu ya watu wangu Israeli. \¬v