\p \v=11 \v~=Asa akatenda yaliyo mema machoni mwa \nd Bwana\nd*, kama alivyokuwa ametenda Daudi baba yake. \¬v