\v=15 \v~=Akaleta ndani ya Hekalu la \nd Bwana\nd* fedha na dhahabu na vile vyombo ambavyo yeye na baba yake walikuwa wameviweka wakfu. \¬v \¬p