\v=26 \v~=Akafanya maovu machoni pa \nd Bwana\nd*, akienenda katika njia za baba yake na katika dhambi yake, ambayo alisababisha Israeli kuifanya. \¬v \¬p