\p \v=29 \v~=Mara tu alipoanza kutawala, aliua jamaa yote ya Yeroboamu. Hakumwachia Yeroboamu yeyote aliyekuwa hai, bali aliwaangamiza wote, kulingana na neno la \nd Bwana\nd* lililotolewa kupitia kwa mtumishi wake Ahiya Mshiloni, \¬v