\p \v=3 \v~=Alitenda dhambi zote baba yake alizotenda kabla yake; moyo wake haukuwa mkamilifu kwa \nd Bwana\nd* Mungu wake kama moyo wa Daudi baba yake ulivyokuwa. \¬v