\v=4 \v~=Pamoja na hayo, kwa ajili ya Daudi, \nd Bwana\nd* Mungu wake akampa taa katika Yerusalemu kwa kumwinua mwana atawale badala yake na kwa kuifanya Yerusalemu kuwa imara. \¬v