\v=13 \v~=kwa sababu ya dhambi zote Baasha na mwanawe Ela walizokuwa wametenda na wakasababisha Israeli kuzitenda, basi wakamkasirisha \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli kwa sanamu zao zisizofaa. \¬v \¬p