\v=19 \v~=kwa sababu ya dhambi alizofanya, akitenda maovu machoni pa \nd Bwana\nd* na kuenenda katika njia za Yeroboamu na katika dhambi alizofanya na kusababisha Israeli kuzifanya. \¬v \¬p