\v=24 \v~=Alinunua kilima cha Samaria kutoka kwa Shemeri kwa talanta mbili\f + \fr 16:24 \ft Talanta mbili za fedha ni sawa na kilo 70.\f* za fedha na akajenga mji juu ya hicho kilima, akiuita Samaria, kutokana na Shemeri, jina la mmiliki wa kwanza wa kilima hicho. \¬v \¬p