\p \v=25 \v~=Lakini Omri akatenda maovu machoni pa \nd Bwana\nd* na kutenda dhambi kuliko wote waliomtangulia. \¬v